HATIMAE
mwanamuziki mkongwe mpiga gitaa muimbaji na mtunzi mahiri Shem Ibrahim
Karenga amezikwa katika makaburi ya Kisutu jioni ya leo. Shughuli hiyo
ilianza kwa utata baada ya kuwa makaburini hapo kulikuwa na misiba minne
hivyo kila lilipokuja jeneza wanamuziki, ndugu na wapenzi wa muziki
walijikuta wakisindikiza jeneza na..........INAENDELEA HUKU
No comments:
Post a Comment