Mbaraka
Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjini Morogoro Juni 27, 1944. Siku ya
Januari 12, 1979 ulimwengu wa muziki Tanzania ulitikiska kwa simanzi
baada ya kusikika kifo cha mwanamuziki huyo, mpiga gitaa muimbaji,
mtunzi na kiongozi wa bendi wa miaka mingi na ambaye bendi yake ilikuwa
imepiga karibu kila wilaya ya nchi hii. Taarifa ziliingia jioni ya siku
ile kupitia redio ya Taifa kuwa nguli huyu alifia katika hospitali
katika jiji la Mombasa nchini Kenya muda wa saa 1:55 jioni kufuatia
ajali ya gari...........ENDELEA HUKU
No comments:
Post a Comment