LEO
Jumatatu tarehe 15 Desemba 2014, majira ya saa nne asubuhi taarifa
zilianza kusambaa kuwa mwamba mwingine wa muziki wa dansi Tanzania
umedondoka. Mzee Shem Karenga hatunae tena,kwa vyovyote waliohudhuria
dansi alilopiga Ijumaa na Jumamosi iliyopita pale Mwembeyanga watakuwa
hawaamini, lakini imekuwa mapenzi ya Mungu, kwamba asubuhi ya leo
aliamka hajisikii vizuri na alipelekwa hospitali ya Amana lakini
hakukuweza kufanyika kitu Mzee akarudi kwa Muumba wake. Mungu aipokee
roho yake. Miezi michache iliyopita tulipata muda mrefu wa kuongea na
Mzee Shem Karenga ili kujua alikotokea na mawazo yake kwa sasa
mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo;................................. ENDELEA HUKU
No comments:
Post a Comment