Sunday, July 22, 2012

Enzi wakiwa Jamhuri Jazz Band

George Peter, Harrison Siwale(Sachmo), Wilson Peter
Hapa wakati wako Jamhuri Jazz Band, hadithi rasmi ya bendi hii inakuja

3 comments:

  1. SENETA MSONDO-Boston,MA,USA.July 22, 2012 at 11:49 PM

    Naisubiri kwa hamu hii habari kwa kuwa watu wa msondo tunajifeel tuko connected na jamhuri jazz pamoja na simba wanyika na less wanyika cuz shujaa wetu TX MOSHI alitokana na kina Wilson pamoja na ndugu yake George Peter Kinyonga,hata uimbaji wa Marehemu Moshi kama utausikiliza kwa makini utagundua kwamba alikua anafuata njia za kaka zake hao toka Hale Tanga ambao ndio walikua chachu ya yeye moshi kuwa mwanamuziki.

    Mungu awaweke wapendwa wetu hawa wote watatu pahala pema.

    ReplyDelete
  2. Najaribu kufikiri hivi kuna siku moja ile ladha ya muziki wa zamani inaweza kurudi karne hii kweli?

    ReplyDelete
  3. Piga moyo konde baba - inatakiwajuhudi kama za kina Mzee Kitime ziwajumuishe wale wakongwe waliosalia.

    By the way kumekuwa na concert za wanamuziki wa zamani nakumbuka zimefanyika mbili mpaka sasa. Hii inaweza saidia pia.

    Nitawasiliana in personal na Kitime ili kushauri jinsi ya kuboresha concert kama zile na kuwanufaisha pia wakongwe wetu.

    @Anomymous usife moyo ipo siku ladha ya muziki wa zamani inaweza kurudi

    Kisondella - (Mafinga-Iringa)featrss12

    ReplyDelete