Mimi binafsi nakupongeza sana si tu kwa tuzo uliyopata bali kuwa ni mwanamuziki pekee wa bendi zetu zilizosheheni maadili na elimu kutumua technologia ya Internet kuutangaza na kujuza historia ya muziki na wanamuziki wa Tanzania.
Kuna wanamuziki wakubwa na wenye majina makubwa hapa Tanzania hawajaweza kufanya hivyo - sipendi kuwataja majina. Tunakosa historia halisi ya bendi kwa kuwa kuwa wahusika wamelala tu. Mzee John Kitime umekuwa na juhudi za kudonoa hapa na pale ili angalau kuelezea hisoria ya Mwanamuziki au bendi au wimbo.
Ningetegemea mwanamuziki kama Joseph Bernado/Habib Abbas Jeff/Omary Jamwaka/Hamisi Milambo/Bitchuka/Shabaan Dede/Muhidini Gurumo wangeweza kutupa historia yenye kina ya aidha wanamuziki au wimbo au tukio ndani bendi ya Sikinde kuliko vile ambavyo ungeweza kufanya wewe Kitime. Vivyo hivyo kwa wakongwe wa bendi kama za Msondo Ngoma/Ottu/Juwata.
Wanamuziki wa zamani tunauua sisi wenye muziki wetu TUSILAUMU BONGO FLAVA kuwa juu wakati sisi wenyewe TUMEJIZILA.
CONGRATULATIONS John! You rock! THANK YOU for the memories...
ReplyDeleteMzee Kitime
ReplyDeleteMimi binafsi nakupongeza sana si tu kwa tuzo uliyopata bali kuwa ni mwanamuziki pekee wa bendi zetu zilizosheheni maadili na elimu kutumua technologia ya Internet kuutangaza na kujuza historia ya muziki na wanamuziki wa Tanzania.
Kuna wanamuziki wakubwa na wenye majina makubwa hapa Tanzania hawajaweza kufanya hivyo - sipendi kuwataja majina. Tunakosa historia halisi ya bendi kwa kuwa kuwa wahusika wamelala tu. Mzee John Kitime umekuwa na juhudi za kudonoa hapa na pale ili angalau kuelezea hisoria ya Mwanamuziki au bendi au wimbo.
Ningetegemea mwanamuziki kama Joseph Bernado/Habib Abbas Jeff/Omary Jamwaka/Hamisi Milambo/Bitchuka/Shabaan Dede/Muhidini Gurumo wangeweza kutupa historia yenye kina ya aidha wanamuziki au wimbo au tukio ndani bendi ya Sikinde kuliko vile ambavyo ungeweza kufanya wewe Kitime. Vivyo hivyo kwa wakongwe wa bendi kama za Msondo Ngoma/Ottu/Juwata.
Wanamuziki wa zamani tunauua sisi wenye muziki wetu TUSILAUMU BONGO FLAVA kuwa juu wakati sisi wenyewe TUMEJIZILA.
Kisondella - (Mafinga-Iringa)