Sunday, September 11, 2011

After the burial of Suleiman Kasaloo Kyanga...........his music

Tulijikumbusha nyimbo zake mara baada ya mazishi yake.

5 comments:

  1. Kasaloo, Mungu yu nawe. Nimemkaribisha Nyoka wimbo kiboko na hilo solo la Kawele Mutimwana lilitia fora miaka ya Mangala Dance.

    ReplyDelete
  2. Kitime! Na tumshukuru MUNGU kwa zawadi ya UHAI aliyomjaalia ndg yetu kasaloo na kwa kazi nzuri ya mikono na sauti yake. Tutaendelea kumkumbuka

    ReplyDelete
  3. kitime tunaomba nyimbo za kasolo kama hiyo hapo "kumbe nimemkaribisha nyoka" na nyingine za tancut,sijui kwa nini nyimbo za tancut zimekuwa ngumu kupatikana hata kwenye u tube,wengine tuko mbali na tanzania tunamis sana nyimbo za tancut hasa kipindi hiki cha kumkumbuka ndugu yetu.

    Mdau Grand Rapids,michigan,usa

    ReplyDelete
  4. Hi Wandugu kilio cha waislam huwa hatupigi music makaburini hiylo ni kosa kubwa sana wamemfanyia Suleiman Kasaloo Kyangapesa zinawafanya watu mpaka wanasahau dini zao na nini wameamrishwa kufanya kwa misingi ya dini zao.Hiyo kitu ni bid'aa kubwa sana kwenda mpigia mtu karibu na kaburi alilozikiwa ,ninajua kuna baadhi ya watu hapa ambao sio waislam wataanza kutoa maneno ya kashfa kuhusu comment zangu lakini mimi nimesimamia upande wa sheria za kiislam zaidi ya mambo yenu ya kidunia,tunafahamu kuwa nyinyi ni watukanaji wakubwa sana,mtasamehewa na mwenyezi mungu kwani hamjui mlitendalo hapa duniani,wasalaam Mkulu Karenga.

    ReplyDelete
  5. kwa kweli na mie ninamuunga mkona huyo mdau hapo kuwa hapo wamekosea sana kwa vile yeye ni muislam basi ilikuwa zipitishwe sheria za dini yake na kama mtu ana dini nyengine basi na ifutwe dini yake kwenye maziko yake na wala sio matusi ila ndio haki na usawa na uhuru wa kuabudu

    ReplyDelete