Wednesday, March 30, 2011

Mzee Muhidin Maalim Gurumo Mzee gurumo anaumwa sana, tumuombee

Mzee Gurumo amelazwa Muhimbili hali yake si nzuri

5 comments:

  1. Heri Gombera

    Mwenyezimungu ampe nafuu apone haraka. Inshallah

    ReplyDelete
  2. Mzee Gurumo ni moja treasure ambayo Tanzania tumebaki nayo,naomba Ndugu zangu tumuombee Mzee wetu Mwenyezi Mungu ampe afya njema.

    / Vumbi Dekula Sweden

    ReplyDelete
  3. Toka post hii iwekwe, hatujapata taarifa zaidi kuhusu hali ya Gurumo. Hivi anaendeleaje?

    ReplyDelete
  4. Hali ya Mjomba Gurumo imeimarika kidogo, lakini japo ameruhusiwa kutoka hospitali hali yake bado si nzuri

    ReplyDelete
  5. mzee guroma anaumwa na nani sana? Na hali inaendeleaje mpaka hivi sasa?

    ReplyDelete