Tuesday, March 29, 2011

NUTA JAZZ BAND

Toka kushoto-Zuberi Makata, Mnenge Ramadhani, Joseph Lusungu, Juma Akida, Muhidim Mwalim, Ahmed Omari, H.R. Sama,Mohamed Omary, Mabruk Khalfani, nyuma kabisa Wilfred Bonifas
Bendi ya NUTA ilianza mwaka 1964, ikaanza na mtindo wa Msondo. Bendi hii ya chama cha wafanyakazi ndipo ilipoanza, ikapitia majina kadhaa, JUWATA, OTTU, na mpaka sasa Msondo Group. Msondo ni mtindo ambao umekuwa kwenye chati za juu kuanzia hapo hadi leo, staili hii ilitakiwa kuenziwa kwenye Hall of Fame. Mwangalie Mzee Muhidin hapo akiwa kijana mdogo kabisa.

1 comment: