Monday, January 3, 2011

Mazishi ya Ngosha

Marehemu Mustafa Ngosha
Ratiba ya mazishi ya Ngosha imefanyiwa marekibisho kidogo. Msiba utakuwa Magomeni Popobawa, na mazishi yatakuwa saa 7 mchana leo tarehe 03/01/2011

No comments:

Post a Comment