Juma Choka mpiga drum wa Sikinde alieongoza kwa utani wa jadi katika msiba na kudai chakula atakachopewa lazima kiwe na nyama, maana Wasukuma hufuga sana ng'ombe au la hata kula |
Dua zikiendelea nyumbani kwenye msiba wa marehemu |
Cosmas Chidumule ambaye ndiye aliyemleta Dar marehemu kwa kumchukua Mzinga Troupe ya Morogoro na kumuingiza Sikinde |
Ally Jamwaka, na wa kati ni Malik Star ambaye wakiwa na marehemu walizunguka nchi nyingi kama wanamuziki wa Kanda Bongoman |
Mchango wa papo kwa papo wa wanamuziki |
Dede na Mafumu wakihamasisha mchango |
Mwenye kofia ni Banza Stone akitoa mchango wake |
Kikao cha dharura cha wanamuziki |
John Ngosha mtoto wa marehemu nae ni mwanamuziki wa kundi la Rufita Connection |
Mzee Muhidini |
Group photo ya wanamuziki wakongwe |
King Kiki na Mzee Muhidin |
Msafara kuelekea Makaburini |
Barabara zilifungwa kwa muda |
Mzee Said Mabela mpiga solo wa Msondo |
Abdallah Mgonahazelu mwimbaji Vijana Jazz |
Choky na Babu yake |
Huluka Uvuruge mpiga gitaa Msondo |
Mkuu Kitime,utakapopata nafasi ya kukusanyika tena na wanamuziki wa Sikinde au wengine waliohudhuria msiba wa ndugu yetu Ngosha,wape salaam zangu za pole kutoka hapa Tokyo,najua watu wengi huko hawana tabia au hawatumii internett kabisa
ReplyDeletekwa hiyo nifikishie salaam zangu kwa mdomo au njia yoyote uionayo ni bora kwa kufikisha ujumbe wangu.
Ingawa niko mbali na nyumbani lakini huwa nafuatilia sana habari za huko,za muziki na za nchi kwa ujumla.Kalale pema nddddugu yetu,mwanamuzi mashuhuri Tanzania
Mustafa Ngosha."Rspect"
Abbu Omar Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.
R.I P Mustapha Ngosha!
ReplyDeleteNimesikitishwa sana na kifo hiki kwangu ni pigo kubwa kwani mimi ni mpenzi mkubwa wa sikinde kwa miaka mingi na ngosha amekuwa kiungo mkubwa kwa bendi yetu hii,
ReplyDeleteMwenye enzi mungu amrehemu!
Majaliwa Rubuye-Mpanda Rukwa