Thursday, March 2, 2023

MATOKEO YA WASHINDI WA TOP TEN SHOW...SIKILIZA MSHINDI WA 10 NA WA 9

 MOJA ya changamoto ya TOP TEN SHOW  ilikuwa ni urefu wa mashindano yenyewe yalianza mwaka 1988 na kuisha mwishoni mwa mwaka 1989. Sikiliza hapa jinsi walivyotajwa washindi na nyimbo walizopiga live baada ya kutajwa.

10. Orchestra Safari Sound Ndekule - Elimu ni msingi wa maisha

9. Mwenge Jazz band - UKIMWI

Toa maoni ............



2 comments:

  1. Mashindano yalianza mwaka 1988 na kumalizika mwaka huo huo. Yalishirikisha jumla ya Bendi 27 za muziki kwa kila wiki kuwa na bendi moja. Yalianza mwezi February yakamalizika Oktoba.

    ReplyDelete
  2. Mashindano haya yalikuwa ni katika sherehe za Umoja wa Vijana kutimiza miaka 10 yaani mwaka 1987.
    Yalianza mwaka huo huo na kuisha mwaka 1988

    ReplyDelete