|
AUDAX(kushoto) akiwa na Kasongo Mpinda |
Mwanamuziki muimbaji na mtunzi mashuhuri wa bendi ya Maquis Original
Mutombo Lufungula Audax,
amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, huko Kimara Michungwani. Mwili
wake umepelekwa kuhifadhiwa Mwananyamala Hospitali. Audax alikuwa ndie
mmoja wa wanamuziki asili wa kundi la Maquis Du Zaire. Kundi la Maquis
lilianza katika mji wa Kamina, jimbo la Shaba, huko Kongo. Awali kundi
lilianza kwa kuitwa Super Teo, kisha kubadili jina na kuitwa Rocken, ......
INAENDELEA
Bro, yule mpiga drums wa Marquiz, miaka ya 80, alikuwa na mke wakizungu alikuwa anaitwa nani? mimi nilifikiri ndio Mutombo Lufungula.
ReplyDelete