Umati mkubwa wa watu ulijitokeza kumzika Ally Rashid mwanamuziki wa
siku nyingi ambaye alifariki jana mchana. Mazishi yalifanyika katika
makaburi ya Keko Machungwa kaburi lake likiwa jirani kabisa na la
mwanamuziki mwingine nguli Moshi William. Mazishi ya Mzee Alyy
yalifanyika muda wa saa nne asubuhi pia na kuhudhuriwa na wanamuziki
wengi wa zamani na hata wa sasa akiwemo Mchizi Mox ambaye alikuwa
kimwita marehemu baba yake mdogo.
MUNGU AMLAZE PEMA ALLY RASHID KWA PICHA INGIA HAPA
MUNGU AMLAZE PEMA ALLY RASHID KWA PICHA INGIA HAPA
No comments:
Post a Comment