LEO
tunatimiza miaka kumi toka kifo cha mwanamuziki mahiri Freddy Supreme
au maarufu kama Ndala Kasheba. Freddy alianza kufundishwa gitaa na baba
yake wakati akiwa na umri wa miaka 12. Baba yake alijua kupiga gitaa
japo hakufanya kazi ya uanamuziki, alikuwa akipiga gitaa nyumbani baada
ya saa za kazi. Moja ya bendi maarufu ambazo zilimtambulisha sana Fredd
ilikuwa Orchestra Fauvette, Freddy alieleza kuwa bendi ya Orchestra
Fauvette ilianza tarehe 7 mwezi wa sita mwaka 1964 katika jiji la
Lubumbashi huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Jina hilo Fauvette........ENDELEA HUKU
No comments:
Post a Comment