Sunday, June 29, 2014

KATIKA KIPINDI CHA ZAMA ZILEE 93.7FM LEO

BEMBEYA JAZZ TOKA GUINEA
Baadhi ya makundi na wanamuziki utakao wasikia leo John Mwenda Bosco,Bembeya Jazz,Black Blood, Elvis Presley, James Brown, Maroon Comandoes, Tancut Almasi Orchestra, Orchestra Mambo Bado, Kiko Kids, Jamhuri Jazz, Tabora Jazz, Bima Lee, Sola TV, Nuta, Double O, Sunburst, Orchestra Sosoliso, Orch Negro Success,TP OK Jazz na wengi wengine usikose kuanzia saa mbili mpaka saa tano usiku.....http://tunein.com/radio/E-FM-Radio-937-s224740/

No comments:

Post a Comment