Kwa wapenzi wa muziki wa dansi wa Afrika ya Mashariki na hasa Tanzania, jina la Skassy au maarufu Sultan Skassy Kasambula si geni hata kidogo, sauti yake ilisikika katika bendi na nyimbo nyingi maarufu. Kwa sasa yuko nairobi na kundi lake la Orchestre Viva Mosukusuku, muangalie na kumsikia katika kazi yake moja kwenye video hii
hii kitu inanikumbusha mbali mazee, enzi zilee nikiwa bado kijana....Asante sana kwa kutukumbuka vijana wa zamani
ReplyDelete