JIKUMBUSHE ORCHESTRA SAFARI SOUND ENZI ZA MASANTULA LIVE-VIDEO
ORCHESTRA SAFARI SOUND ILIPITIA SURA NYINGI KABLA YA KUONDOKA KATIKA ULIMWENGU WA MUZIKI. KATI YA SURA HIZO NI MASANTULA, DUKUDUKU, NA NDEKULE...VIDEO HII NI KIPINDI CHA MASANTULA
Mr Kitime sijui nisemeje, au nianzie wapi, ninachoweza kusema asante sana kwa hii kumbukumbu, lakini ni 50/50 furaha na majonzi ndani yake, kwani wengi wa enzi hizi wamekwisha lala kwenye mavumbi, na huu ndie ulikua mziki, i salute Kikumbi Mwanza Mpango Mwema katika kipindi hicho, nimelia saaaana baada yakuona kumbukukumbu hii, kwa kweli basi tu
Mkuu umenikumbusha mbali,...kweli maisha ni kitu cha ajabu sana...hawa jamaa sijui wapo wapi kwa sasa. Je mkuu unaweza kuutafuta wimbo wa TAKADIRI,...takadiri wangu, nakuomba mpenzi mezea, kwa asilimia tisini moyo wangu umelemea kwako...'
Mr Kitime sijui nisemeje, au nianzie wapi, ninachoweza kusema asante sana kwa hii kumbukumbu, lakini ni 50/50 furaha na majonzi ndani yake, kwani wengi wa enzi hizi wamekwisha lala kwenye mavumbi, na huu ndie ulikua mziki, i salute Kikumbi Mwanza Mpango Mwema katika kipindi hicho, nimelia saaaana baada yakuona kumbukukumbu hii, kwa kweli basi tu
ReplyDeleteMkuu umenikumbusha mbali,...kweli maisha ni kitu cha ajabu sana...hawa jamaa sijui wapo wapi kwa sasa. Je mkuu unaweza kuutafuta wimbo wa TAKADIRI,...takadiri wangu, nakuomba mpenzi mezea, kwa asilimia tisini moyo wangu umelemea kwako...'
ReplyDeleteNitafute nikurushie.jpwest45@hotmail.com
ReplyDelete