Thursday, December 5, 2013

BENDI ZA UPANGA- THE GROOVEMAKERS

Picha hii ina maana nyingi kwa wapenzi wa Groove Makers. Hapa ni wakali wawili wa GrooveMakers wakiwa katika mazoezi ya Karate. Hakuna zawadi kwa kuwataja japo itakuwa vizuri kupata taarifa ya kipindi hiki. MMOJA NI BALOZI MWENYE HESHIMA KUBWA NCHINI.

1 comment:

  1. Hakuna ubaya kutaja. Kuna picha nyingi tu za viongozi wa juu kulliko Balozi na majina yao yametajwa kama Mkapa kuna picha akiwa shule na amevalia kaptula kachana shedi, kuna ya Magufuli ya utoto nyingine kavaa koti kubwa kuliko mwenyewe , kuna ya Majaliwa kavaa pekos anakata mitaa sasa iyakua Balozi? Ni historia tu ambayo haina ubaya.

    ReplyDelete