Mwanamuziki
wa zamani wa Biashara Jazz na JUWATA JAzz Band Hagae Kauzeni hatunae
tena. Kwa maelezo ya Mwanamuziki Bonzo Kwembe, marehemu amekuwa anaugua
kwa kipindi cha mwezi mmoja. Hagae amefariki leo Visiga Kibaha. Na
mipango ya mazishi inafanyika ili mazishi yawe kesho Kibaha Mnemera.
Mungu Amlaze pema peponi
No comments:
Post a Comment