Wednesday, July 3, 2013

WAKONGWE WA ENZI ZA BUGI

Kwa wale waliokuwa wapenzi wa muziki wa bugi miaka ya sabini hasa katika jiji la Arusha sura hizi si ngeni, niliwakuta katika kijiwe fulani wakiwa katika maongezi makali ya kukumbuka enzi hizo wakati wakiwa matineja, wana kitu wanataka kufanya subiri habari zake humuhumu
Drums

Guitar

Guitar
Keyboards

No comments:

Post a Comment