Thursday, June 6, 2013

IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA TANZANIA ANGALIA VIDEO


1 comment:

  1. Da hongera sana uncle kitime kwa hostoria nzuri ya muziki Tanzania.Hakika wewe ni miongoni mwa watu makini sana ninaowaheshimu huko Tanzania as far as Tanzanian music concern.Nimepata kuangalia mahojiano yako mbalimbali, ukielezea mengi yenye manufaa ktk muziki wa Tanzania na wanamuziki, Nimegundua kwamba wewe ni mtu makini sana na una mengi mno yenye maslahi iwe kwa wanamuziki na mziki wa Kitanzania.Naheshimu sana mawazo yako na kwa kila unalolijua kuhusiana na muziki.Swali je una nafasi yoyote ya kiuongozi ktk medani ya muziki huko nyumbani??iwe ktk vyama vya wanamuziki au Serikalini???Mdau Sweden.

    ReplyDelete