Monday, March 11, 2013

MWEMA MUDJANGA MZEE WA CHEKECHA

Wapenzi wa Maquis mnamkumbuka Mwema Mudjanga, huyu alikuwa mmoja wa viongoi wakuu wa Maquis. Alifahamika pia kama Mzee Chekecha, kutokana na mtindo mmoja wapo wa bendi hiyo.

No comments:

Post a Comment