Friday, September 30, 2011

Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa


5 comments:

  1. kaka kitime kaka kitime chonde chonde nyimbo za tancut jamani...hatuzipati mtandaoni kabisa,bendi nyingine zote safi kasoro tancut na bima lee magnet tingisha,tafadhali msaada tutani

    thanx

    ReplyDelete
  2. Mkuu Kitime asante sana kwa kutuletea kumbukumbu nzuri ya muziki wetu wa dansi TANZANIA,Tuombe mungu at least irudi enzi kama hii ambapo ukisikia bendi ni bendi hasa yaani timu iliyotimia na siyo siku hizi ni mashine na play back tupu,matokeo yake kunakuwa na wimbi kubwa la wanamuziki ambao wanapata sifa kubwa bila kutumia vipaji kama ionekanavyo katika video hizi,kwa kweli inasikitisha sana kuona muziki Tanzania unapotelea hivi hivi,Mimi nina imani kubwa kuwa enzi hizi zitakuja kurudi tu.
    Abbu Omar,Prof,Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

    ReplyDelete
  3. Hivi Kitime wimbo huu ailyepiga solo ni Kibambe Ramadhani?

    ReplyDelete
  4. Ndio ulipigwa solo na Kibambe Ramadhani

    ReplyDelete
  5. Asante mkuu. Mimi miaka yote nilijua aliyekung'uta solo katika kibao hiki ni Kawele Mutimanwa. Endelea kutuelimisha.

    ReplyDelete