Kama ulikuwa mpenzi wa lile kundi maarufu la Orchestra Lipua Lipua lazima unamkumbuka mpiga bezi wa bendi hiyo alikuwa akitajwa karibu katika kila nyimbo. Kwa muda mrefu sasa yuko Dar es Salaam. Je, unamkumbuka alikwa anaitwa nani? Picha yake hiyo hapo juu, kwa sasa huwa anapiga na King Kiki na Wazee Sugu
Alipwa lipwa mbelembele..ooh mama yeeyee...anaitwa nani vile, aaah, ngoja kidogo nimkumbuke!
ReplyDeleteWaaaaao! Mimihadi leo nikisikia muziki wa lipualipuabasi nerve zote za mwili husisimuka sana.
ReplyDeleteHata mimi nilikuwa mpenzi wa Lipua lipua na ndiyo nilitumia sana nyimbo zao katika kujifunza kupiga gita,ila huyu mpiga bass simkumbuki nawakumbuka kama akina Vata Mombasa,Mongoley,Nzaya Nzayadio,lusuama,Benazoe Mbuta(sax),Mbakidi(vocal)(Aliyeimba Lossa)nk.kwa hiyo mkuu Kitime hapa naomba msaada tutani,yaani nifahamishe jina la huyu mpiga besi.
ReplyDeleteAbbu Omar,Prof.Jnr(mwanamuziki)Tokyo,Japan.
Kitime bilashaka ni Barl baliento.Hapa Ujerumani tunaye Lusuama Aspro, Nzaya anaishi London
ReplyDeletebali baliento by mchabuzi toka mby
ReplyDeleteMpiga ji besi guitar kwa lipua Lipua alikuwa Mbanza Velela
ReplyDelete