Anony hapo juu bitchuka ni miongoni mwa wale wazee walio kosa busara ndogo tu ya kuuenzi muziki wake yeye mwenyewe. Sijui alitegemea afuatwe kwake na matarumbeta? kwa mimi niliesikiliza clip hii sogea karibu pigwa vizuri tu na itakuwa sawa bila ya bichuka. Kitime isikilize vizuri flow na timing ya bitchuka utaimba vizuri tuu fuatilia oroginal.
Waziri wacha utani sikiliza tena na urejee original copy utupe uhondo wa kinanda kama zamani umri usiwe kisingizio.
Uvuruge uko sawa sawiya katika solo.
Andy sikiliza nakala halisi bado una kazi ya kufanya. Vinginevyo big up wazee kwa hatua mliofikia.
Hapa hata mimi nilikuwa na wazo kuwa ingekuwa vizuri Bichuka mwenyewe akaja kuimba hiyo sehemu yake.na kwa kuwa bado yupo hai sioni sababu ya yeye kuto kuja kujiunga na hawa wakongwe wenzie angalau katika project hii.Ninavyomjua Bichuka kwa tabia yake ya ubishi inawzekana ameamua tu kukataa kuja kuimba na hawa wakongwe wenzie.Tatizo hili ndilo linalowafanya baadhi ya wasanii wetu wasiende popote na wala kuwa na maendeleo ya kimaisha ispokuwa kuganga njaa ya kila siku,yaani hata wakiwa mashuhuri mwisho wake huwa mbaya,hii pia ni kutokana na kutotaka ushauri.Inasikitisha sana kama Bichuka bado ana mambo ya kizamani tu. mpenda muziki,Dar.
hamjamtendea haki butchuka kwenye huu wimbo...yupo wapi???
ReplyDeleteAnony hapo juu bitchuka ni miongoni mwa wale wazee walio kosa busara ndogo tu ya kuuenzi muziki wake yeye mwenyewe. Sijui alitegemea afuatwe kwake na matarumbeta? kwa mimi niliesikiliza clip hii sogea karibu pigwa vizuri tu na itakuwa sawa bila ya bichuka.
ReplyDeleteKitime isikilize vizuri flow na timing ya bitchuka utaimba vizuri tuu fuatilia oroginal.
Waziri wacha utani sikiliza tena na urejee original copy utupe uhondo wa kinanda kama zamani umri usiwe kisingizio.
Uvuruge uko sawa sawiya katika solo.
Andy sikiliza nakala halisi bado una kazi ya kufanya. Vinginevyo big up wazee kwa hatua mliofikia.
Hapa hata mimi nilikuwa na wazo kuwa ingekuwa vizuri Bichuka mwenyewe akaja kuimba hiyo sehemu yake.na kwa kuwa bado yupo hai sioni sababu ya yeye kuto kuja kujiunga na hawa wakongwe wenzie angalau katika project hii.Ninavyomjua Bichuka kwa tabia yake ya ubishi inawzekana ameamua tu kukataa kuja kuimba na hawa wakongwe wenzie.Tatizo hili ndilo linalowafanya baadhi ya wasanii wetu wasiende popote na wala kuwa na maendeleo ya kimaisha ispokuwa kuganga njaa ya kila siku,yaani hata wakiwa mashuhuri mwisho wake huwa mbaya,hii pia ni kutokana na kutotaka ushauri.Inasikitisha sana kama Bichuka bado ana mambo ya kizamani tu.
ReplyDeletempenda muziki,Dar.
Kitime,
ReplyDeleteJifunzeni na mtupigie na ule NIDHAMU YA KAZI bana.
Eee bana zile SAXAPHONE, TRUMPETS,SOLO na RHYTHm mule ndani si vya kawaida Kaka angu.
Tupeni Utamu ule jamani
hipo haja ya kujivunia na kuwapa support zote wakongwe hawa,kazi baabu kubwa,
ReplyDeletewadau
Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni