Tuesday, July 12, 2011

Onyesho la Wakongwe 22 July 2011, Salender Bridge Club

Kwa mara nyingine tena lile kundi la wakongwe litakuwa jukwaani, Salender Bridge Club, tarehe 22 July 2011 katika onyesho la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru. Baada ya mazoezi ya makali ya miezi kadhaa sasa mambo yatakuwa jukwaani. Wakati huo huo kundi zima liko Metro Studio kwa ajili ya kurekodi nyimbo 3, Miaka 50 ya Uhuru, Kilimo kwanza, na Tanzania Yetu, hii nyimbo ya tatu inatokana na nyimbo ya zamani ya Atomic Jazz Band 









Tanzania yetu ndio nchi ya furaha.

1 comment:

  1. mimi nakubaliana na mr sugu kuna genge la wahuni linajifanya limekamata biashara ya muziki bila wao mambo hayaendi

    ReplyDelete