Usiku wa Ijumaa tarehe 18, March 2011, katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam mambo yalikuwa raha sana. Bendi mbili kongwe zilipiga pamoja. Wengine waliuita mpambano, hata mwanamuziki mmoja alitangaza neno ambalo lilionyesha hali hiyo ya mpambano. Mimi niliona ni onyesho la Bendi mbili ambazo nimekuwa nikizipenda maisha yangu yote hivyo nilikuwa napata raha kamili. Kila bendi ilipanda jukwaani na kupiga nyimbo tatu tatu, chini ni picha na video za baadhi ya matukio
Shaaban Lendy na Yusufu Bernard |
Mpenzi na mchambuzi wa muziki wa siku nyingi Zomboko |
Waimbaji wa Sikinde |
Mzee Muhidini Gurumo akimtambulisha Shaaban Dede |
Magitaa Msondo yakiongozwa na Said Mabela katikati |
Dede kwenye Mic, Mabela kwenye solo na Huruka Uvuruge kwenye rythm gitaa |
Waimbaji Msondo |
Msondo vocalists |
Furaha bila karaha |
Trumpets Hamis Mnyupe na Roma Mng'ande |
Hussein Jumbe akiimba nachechemea |
Sikinde |
"Faatumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
ReplyDeleteNasafiri mamaaa, ubakii salama, oo oo oo Fatumaaaaaaaaaaa......,
Nitarudia mamaaaaaa......,
Fatumaaa mimii ninakwenda nitarudia......,
Fatumaaa niombee dua nifike salama, mbali sana niendako aaa mamaa.....,
Jambo ambalo ninalokuomba uchungee watoto, ujichunge na wewe, ooo Fatuma mamaaaa....,
Ukibadili tabia yaako Fatumae,
jua nitaambiwa, nitaona vibaya tutatengaana bure....
Dede huyo Mwanangu. We acha tu!
Sikinde kwishney!lakini kazeni moyo,si mnajua mwenda kwao si mtoro!
ReplyDelete