Thursday, March 24, 2011

Mazishi ya Motoo

Mwanamuziki mpiga tumba mashuhuri wa siku nyingi Gulukulu Abandoki maarufu kama Motoo anazikwa leo tarehe 24 March 2011,  katika makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa saa kumi jioni, maiti itaagwa mortuary ya Mwananyamala hospital kuanzia saa 8 mchana

1 comment: