Asia Darwesh _Super Mama (RIP) Mpiga kinanda mahiri sana wakati huo aliwa pia kupigia Bicco Stars, na baadae kuunda bendi yake mwenyewe. Pembeni Drummer Johnny Rocks
Ukumbini Bandari Grill
MK GROUP, BENDI ILIYOKUJA JULIKANA KAMA NGOMA ZA MAGOROFANI KUTOKANA NA UKUMBI WAO KUWA KATIKA GHOROFA YA KWANZA YA NEW AFRICA HOTEL, UKUMBI ULIOJULIKANA KAMA BANDARI GRILL, WAKATI HUO UKICHUANA NA UKUMBI WA SIMBA GRILL ULIOKUWEKO KILIMANJARO HOTEL.
Mara ya mwisho nilimuona Johhny Rocks ni mwaka jana DSM. Kabla ya hapo nilikutana naye Arusha miaka kadha iliyopita Club Redds akiwa na bendi moja (sikumbuki jina). Ananikumbusha sana enzi za Sunbursts alipokuwa na kina James, marehemu Kassim, Bashiri (sasa yuko Zanzibar) na Florrie.
Dick, ili muziki wetu urejee kama zamani tunahitaji kwenda kwenye ustadi wa msingi, yaani "Back to basics", kama vile 1. wanamuziki kujifunza kupiga ala za muziki vizuri na fani ya uimbaji, 2. vikundi vitumie muda mrefu zaidi katika kufanya mazoezi (si chini ya masaa matano kwa siku), 3. Wanamuziki wawe wanasikiliza kwa makini nyimbo za wasanii aina mbalimbali ili kuona ala zinaoanaje na arrangements zikoje, 4. kutumia vyanzo tofauti ili kupata inspiration ya ubunifu, k.m. muziki wa jadi, n.k. Sasa hivi wasanii wengi TZ ni wababaishaji tu. Utamwona mpiga gitaa anajua chords nne tu au mpiga drums anajua beats tatu tu!!! Na hii inahusu fani nyingi za maisha TZ, mafundi, madreva, n.k. Sasa hivi hapa TZ attitude yetu ni ile ambayo Waswahili wanaita "Sukuma twende". Watu wengi hawapendi kujifunza au kufanya kazi zao kwa makini. Wasalaam. AA.
Hivi kitime Rocks yuko wapi now a dayzzz
ReplyDeleteNgoja nifuatilie
ReplyDeletekitime nafikiri una influence sana unafikiri nini kifanyike muziki wetu urejee kama zamani? Wewe na Waziri Ally pigeni mbiu na wadau kwa ujumla.
ReplyDeleteMara ya mwisho nilimuona Johhny Rocks ni mwaka jana DSM. Kabla ya hapo nilikutana naye Arusha miaka kadha iliyopita Club Redds akiwa na bendi moja (sikumbuki jina). Ananikumbusha sana enzi za Sunbursts alipokuwa na kina James, marehemu Kassim, Bashiri (sasa yuko Zanzibar) na Florrie.
ReplyDeleteDick, ili muziki wetu urejee kama zamani tunahitaji kwenda kwenye ustadi wa msingi, yaani "Back to basics", kama vile 1. wanamuziki kujifunza kupiga ala za muziki vizuri na fani ya uimbaji, 2. vikundi vitumie muda mrefu zaidi katika kufanya mazoezi (si chini ya masaa matano kwa siku), 3. Wanamuziki wawe wanasikiliza kwa makini nyimbo za wasanii aina mbalimbali ili kuona ala zinaoanaje na arrangements zikoje, 4. kutumia vyanzo tofauti ili kupata inspiration ya ubunifu, k.m. muziki wa jadi, n.k. Sasa hivi wasanii wengi TZ ni wababaishaji tu. Utamwona mpiga gitaa anajua chords nne tu au mpiga drums anajua beats tatu tu!!! Na hii inahusu fani nyingi za maisha TZ, mafundi, madreva, n.k. Sasa hivi hapa TZ attitude yetu ni ile ambayo Waswahili wanaita "Sukuma twende". Watu wengi hawapendi kujifunza au kufanya kazi zao kwa makini. Wasalaam. AA.
ReplyDelete