Saturday, October 2, 2010

Sikujua kama utabadilika - Simba wa Nyika


Wengi tunaufahamu wimbo Sikujua Kama Utabadilika, wenye maneno yafuatayo....
Ohhh Sikujua kama utabadilika
Ohhh Ulimwengu kweli una mambo mengi
Baki salama oo kuonana nawe ni majaliwa
Chorus
Utalia utalia ooo usinione, Mombasa mbali, Kakamega mbaali......................
Wimbo huu ulitungwa na Wilson Peter kama kijembe, baada ya mpiga rythm wa Simba Wa Nyika, Prof. Omar Shaaban kwenye mwaka 1978 kuondoka na karibu kundi zima la Simba wa Nyika na kwenda kuanzisha Les Wanyika ambao nao waliokuja na vibao vikali sana katika album yao ya Sina Makosa.
















2 comments:

  1. Samahani ningependa kujua wimba wa "SINA MAKOSA" umetungwa na nani maana sasa hv kuna Mkenya yule Wyre ameuimba tena kama vile Mtoto wa Dandu alivyourudia.

    ReplyDelete
  2. Wimbo sina makosa ulitungwa na gerge Peter lakini baada simba wa nyika kukorofishana wanamuziki kina professor omari, ngereza, isa juma na wengineo walitoka na kuingia kwa speed studio na kutoa huo wimbo kwa jina la Les Wa nyika. Sisi ( nilikuwa ninaishi kenya wakati huo, george na Wilson walikuwa marafiki zangu sana) ilibidi kufanya kazi kumpoza george kwa kitendo alichotendewa. kwa bahati mbaya ilichukua muda sana mpaka walipokuja kurecover baada ya kutoa huo wimbo sikujua utabadilika.

    hamissi delgado

    ReplyDelete