EXCLUSIVE- ANGALIA PAMBAMOTO LILIVYOKUWA LIKICHEZWA MIAKA YA 90 -VIDEO
VIJANA DAY kila Jumapili mchana Vijana Jazz Band walikuwa wakipiga katika ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni na hii ilikuwa mojawapo ya raha ukumbini. Aina ya uchezaji hakika ni tofauti na leo. Jukwaani wapiga magitaa Miraji Shakashia- solo John Kitime- Rythm Manitu Musa - Bass Drums- Juma Choka Sax Rashid Pembe na Said Mohamed Ndula Trumpet- Mawazo Hunja na Tuba Uimbaji Jerry Nashon, Mohamed Gotagota, na Abdallah Mgonahazelu
No comments:
Post a Comment