MUSIC IN TANZANIA

Histories and stories on Tanzanian urban music

▼
Tuesday, March 7, 2023

LEO TUSIKIE WALIOKUWA WASHINDI WA NNE NA WATATU WA MASHINDANO YA BENDI YA TOP TEN SHOW 1988

›
 LEO TUNASHUKA KUSIKILIZA NI AKINA NANI WALISHIKA NAFASI YA NNE NA TATU TOP TEN SHOW MWAKA 1988....
Saturday, March 4, 2023

MSHINDI WA SITA NA WATANO MASHINDANO YA BENDI MWAKA 1988

›
  HAKIKA kumekuwa na utata kuhusu mashindano ninayoyaongelea ni ya mwaka gani. Mashindano ya bendi ambayo yalifahamika kama Top Ten Show yal...
Wednesday, March 1, 2023

HOTUBA YA DR ALEX KHALID KWENYE FAINALI YA TOP TEN SHOW 1988, UTADHANI ANAONGELEA HALI YA LEO (Part 1)

›
MWISHONI  mwa mwaka 1989 na mwanzoni mwa 1990 lilifanyika shindano kubwa la kupata nyimbo bora lililojulikana kama Top Ten Show. Bendi nchi ...
Tuesday, January 10, 2023

MAQUIS ORIGINAL WAJIKUSANYA TAYARI KWA MAONYESHO MAKUBWA MAWILI YA PAMOJA

›
MAMBO MATAMU YAJA BENDI kongwe iliyokuwa maarufu sana, Maquis Original itauanza mwaka huu kwa kufanya maonyesho mawili makubwa ya kumbukizi ...

MWAKA MPYA NGUVU MPYA

›
 
Thursday, December 22, 2022

WASIFU WA MAREHEMU RAMADHANI KINGUTI - KINGUTI SYSTEM

›
  Marehemu Ramadhan Maulid Kinguti maarufu kama Kinguti System ni mzaliwa Ujiji, Kigoma. Alikuwa mtu aliyependa sana utani na ucheshi. Ben...
3 comments:
Sunday, December 18, 2022

TWO DAYS AFTER REMMY ONGALA DIED, HIS DRUMMER FOLLOWED HIM

›
The late Abou Semhando . It was around three o'clock at night, on Saturday 18 December 2010, when I got a call from veteran musician ...

ABOU SEMHANDO ALIFARIKI SIKU MBILI BAADA YA KUONGOZA MSAFARA WA KUMZIKA DR REMMY

›
MarehemuAbou Semhando . Ilikuwa ni mida ya saa tisa usiku, alfajiri ya Jumamosi 18 December 2010, nilipopigiwa simu na mwanamuziki mkongw...
1 comment:
Thursday, December 15, 2022

MUSICIANS WHO DIED IN DECEMBER

›
  tHE LATE ANDY SWEBE Many people believe that the end of the year tends to be characterized by many shocking tragedies, it seems this is tr...
1 comment:
Wednesday, December 14, 2022

NI MIAKA 12 TOKA KIFO CHA DR REMMY ONGALA -TUMUOMBEE KWA KUKUMBUKA YALIYOJIRI KATIKA MAZISHI YAKE

›
Ni miaka 12 toka Dr Remmy alipofariki siku ya Jumapili tarehe 12 Disemba mwaka 2010, kiasi cha saa sita usiku katika hospitali ya  Regency...
1 comment:
›
Home
View web version
Powered by Blogger.