Saturday, August 25, 2012

Msondo kazini

Kila Ijumaa Msondo Ngoma huwa Leaders Club , jana nilipita kuwasikiliza wakongwe. Kama kawa hawakuniangusha







3 comments:

  1. Mzee Kitime

    Thanks for your post,

    Picha namba nne toka juu; Namuona kama vile ni Mustafa Hamisi "Pishuu". Is he back into the music game?. Nipeni Mwongozo

    Kisondella - Mafinga (Iringa)

    ReplyDelete
  2. Yes Pishuu yuko kazin mkuu. Na kila Ijumaa wanakuwa Leaders Club Kinondoni kuanzia saa 12 jioni

    ReplyDelete
  3. Good to hear, the veteran musicians come to scene. Nasikia Abdallah Gama pia ndani ya nyumba kule - Sikinde. naomba tu mwenyezi Mungu awapiganie katika shwetani "Ulabu" - adui mkubwa wa vipaji vyao vilivyotukuka katika gita la rythm

    Kisondella

    ReplyDelete