Saturday, January 14, 2012

Mwaka mmoja baada ya kifo cha Ngosha , mpiga bass mwingine afariki Sikinde

Ni mwezi Januari na mwezi kama huu mwaka 2011 ambapo mpiga bass Ngosha alifariki, bendi ya Sikinde imepoteza mpiga bass mwaningine Shaaban Mabuyu. Kifo hiki kinafuatia kifo cha mpiga bass mwingine mahiri Andy Swebe wiki chache zilizopita. MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment