Alyeshika Tuzo ni Roman Mng'ande mpiga trumpet wa Msondo, aliyeshika microphone ni Kibiriti meneja wa Msondo |
Msondo Ngoma Baba ya muziki imedhihirisha cheo chake hicho kwa kushinda Tuzo za EMA katika kundi la Best Rumba Group, waliingia tuzo hiyo kwa kutumia wimbo wao mtamu Kalunde. Hongera sana Msondo Group
Hongera ndugu zetu wa msondo,mmetu letea hishima kubwa kenya na kukata "ngebe"za washiriki wengine
ReplyDeleteHii yote ni kwa sababu ya muziki wenu kuwa original na siyo mashine
nyingi na play back,inatakiwa bendi nyingine hasa za kizazi kipya ziige mfano huu,nina uhakika
hata hao majaji waliwapa msondo ushindi wa haki pamoja na kuwepo
kwa akina Papa Wemba nk lakini hawa
kufua dafu mbele ya msondo.Ni ushindi kwa msondo na Tanzania pia.
Abbu Omar Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.