Nimeisikiliza clip hii kwa umakini mkubwa. Naweza kusema kwamba wanamuziki wakongwe bado ni wakali sana kwa maana ya akili zao na utendaji wao. Ni bahati kwamba tumo ndani ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanzania na wao wakingali na uwezo mkubwa wa akili na mwili ktk kutenda. Tunangoja kununua kazi hiii adhimu.
Sikinde na Msondo ngoma sijaona wanamuziki wao hapa. Maana ninaamini wanakidhi vigezo vya ukongwe. Kwa kuto kuhudhuria kwao ni aibu kubwa kwa o kwa kusaliti vipaji vyao vinavyoelekea ukingoni. Said mabera pamoja na kupata tuzo yako ya ukongwe yaonekana huna sababu ya maana ya kutokuwepo hapo. Hasaana rehani bitchuka aibu kwako pia kwa kuendeleza visasi. Mzee gurumo tunakusamehe kwa tatizo la maradhi. Lakini Jeff, Jamwaka na wenzako hamha haya kuusaliti muziki wa tanzania??????
Safi sana, kazi nzuri!
ReplyDeleteNimeisikiliza clip hii kwa umakini mkubwa. Naweza kusema kwamba wanamuziki wakongwe bado ni wakali sana kwa maana ya akili zao na utendaji wao. Ni bahati kwamba tumo ndani ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanzania na wao wakingali na uwezo mkubwa wa akili na mwili ktk kutenda. Tunangoja kununua kazi hiii adhimu.
ReplyDeleteSikinde na Msondo ngoma sijaona wanamuziki wao hapa. Maana ninaamini wanakidhi vigezo vya ukongwe. Kwa kuto kuhudhuria kwao ni aibu kubwa kwa o kwa kusaliti vipaji vyao vinavyoelekea ukingoni. Said mabera pamoja na kupata tuzo yako ya ukongwe yaonekana huna sababu ya maana ya kutokuwepo hapo. Hasaana rehani bitchuka aibu kwako pia kwa kuendeleza visasi. Mzee gurumo tunakusamehe kwa tatizo la maradhi. Lakini Jeff, Jamwaka na wenzako hamha haya kuusaliti muziki wa tanzania??????
ReplyDelete