Waziri Ally na Sauda Mwilima |
Mazoezi ni makali na wageni ni wengi pia. Leo kambi imetembelewa na crew nzima ya Star TV ilikuweza kurekodi kipindi cha Bongo Beats. Mambo yalikuwa safi kwa kuwezekana kwa interview binafsi za kila mwanamuziki na pia kundi zima kwa ujumla
Waziri akitoa funzo la namna ya kucheza salsa |
No comments:
Post a Comment