Mazoezi makali yanaendelea kwa kutengeza kibao kipya kinachozungumzia miaka 50 ya Uhuru.
Waziri Ally na Kanku Kelly |
Ally Adinani kwenye rythm |
Hamza Kalala na King Kiki |
Ally Adinani na Juma Ubao aka King Makussa |
Abdul Salvador Kanku kelly |
Mafumu Bilali na King Dodo aliyetembelea mazoezi |
Waziri Ally Kissinger |
Bob Rudala aliwatembelea wazee aona kama wanahitaji mtu wa kutumwa soda |
Laiti hii serikali yetu ya kipuuzi ingekuwa ina akili, ingehakikisha mziki old skul unasimamiwa na kuhakikisha vijana wa leo wanajifunza mziki wa kweli. Ila ukiwa na rais brazameni na na mawaziri machekibobu, mwisho wake ni kuona watu wenye zaidi ya miaka 60 wanashabikia bongofleva ambayo ni miziki ya kukopikopi tu toka nchi za magharibi. Matokeo yake hawa wazee wanaondoka na ujuzi wao. Kama unabisha jiulize nani katika vijana ni kama marehemu Remmy Ongala au Marijani au Mwishehe au hata kijana mwenzao wa zamani kama Jerry Nashon? Nchi ya kihuni siku zote huzaa matokeo ya kihuni pia kwa sababu inaongozwa na wahuni. I am done with this country already!!!
ReplyDelete