Thursday, May 5, 2011

Sauti ya Dar es Salaam

Julai Mosi 1951, radio ya kwanza Tanganyika ilizinduliwa, iliitwa  SAUTI YA DAR ES SALAAM, radio hii ilikuwa ikirusha matangazo ya Kiswahili kwa masaa mawili tu kila wiki. Ikiwa na wasikilizaji elfu moja tu. Pichani ni wanamuziki wakirekodi katika studio za redio hiyo.

3 comments:

  1. Duh!

    Yaani wamejizungushia MABLANKETI ndio SOUND PROOF!

    Kweli tumetoka mbali

    ReplyDelete
  2. Ama kweli MAISHA safari ndefu!
    Hawa WANAMUZIKI mizikiyao ipo kweli au kuna awajuao majina?

    ReplyDelete
  3. Labda mumuulize mzee Muhidini Mwalimu Gurumo,anaweza angalau akawa na kumbukumbu ya majina ya hao wanamuziki na nyimbo zao walizorekodi,yeye ndiye baadhi ya wanamuziki wa zamani waliobaki,lazima atakuwa na kumbu kumbu.

    ReplyDelete