Thursday, April 21, 2011

Mtunzi Hamiie Rajab afariki dunia

 
Mtunzi wa vitabu wa siku nyingi ambaye miaka ya karibuni amekuwa akishughulika na uongozaji wa filamu Hammie Rajabu amefariki leo. Taarifa za awali zinasema atazikwa Morogoro. Mungu amlaze pema peponi.

No comments:

Post a Comment