Friday, April 15, 2011

Embalasasa

Unakumbuka mtindo wa King Kiki wa Embalasasa Stop shika Brek?Mwangalie hapa akicheza mtindo huo uliokuwa raha kuangalia enzi za Double O

2 comments:

  1. nakumbuka sana wakati wanapiga Super Mini Bar Temeke. Nilikuwa mdau na mara kwa mara nilikuwa nadoea gari la Dk Aleex Khalid ambaye inadaiwa alifadhili bendi na alikuwa mmiliki wa Makondeko club. ni miaka ya 1983/86. Kiki anajua sana kuwa nilikuwa mpenzi wao.,

    ReplyDelete
  2. jitaje jina basi

    ReplyDelete