Friday, November 26, 2010

Mzee Muhidin Gurumo anaumwa

 
Mwanamziki Mkongwe Muhidin Gurumo anaumwa na amelazwa  Muhimbili ward ya Mwaisela namba 5.

Amelazwa anasumbuliwa na matatizo ya mapafu kujaa maji. Muhidini ni mwanamuziki ambaye alianza shughuli za muziki tokea miaka ya 50. Kati ya mwaka 1964 na leo amekwisha pitia
  Nuta Jazz , Juwata, OTTU,na sasa Msondo Ngoma Music Band, pia alipitia Sikinde Ngoma ya Ukae, Mlimani Park na Ndekule, International Orchestra Safari Sound.

 


2 comments:

  1. Pole sana Gurumo moja ya magwiji ya muziki hapa kwetu. Ningependa tumjadili has historia yake kimziki pamoja tungo zake.

    ReplyDelete