Friday, October 8, 2010

Upanga Story extra

Picha hii ina maana nyingi kwa wapenzi wa Groove Makers. Hapa ni wakali wawili wa GrooveMakers wakiwa katika mazoezi ya Karate. Hakuna zawadi kwa kuwataja japo itakuwa vizuri kupata taarifa ya kipindi hiki

5 comments:

  1. John huyo aliyesimama kulia I am sure ni marehemu Herbet Lukindo. Ambaye baadaye aliajiriwa na TAZARA na kupelekwa China kujifunza elimu ya treni. Wa kushoto simjui nani though the face is familiar

    ReplyDelete
  2. Hahahahaha its funny that coming from you, huyo ni Balozi pia sasa. Namsubiri ajibu mwenyewe

    ReplyDelete
  3. Mh PT, yaani umemsahau MMJ? Salamu kutoka kwa Smarta Arusha.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Kitime, kwa kweli hii blog yako inaonyesha ni jinsi gani unaufahamu muziki wa Tanzania. Una hazina ambayo vizazi vijavyo vitafaidika sana. Ushauri wangu kwako, unaonaje kama ukianzisha makumbusho (meuseum) ya muziki wa Tanzania? Andika proposal na uipeleke kwenye wizara husika, ninaamini kama wataisoma wanaweza kukusaidia katika funding. Kudos to you Sir!

    ReplyDelete
  5. Huyo wa kushoto ni Balozi Maharage

    ReplyDelete