Saturday, October 2, 2010

Kida Waziri arudi ulingoni



Kida Waziri au kama alivyokuwa akiitwa enzi zake Vijana Jazz Stone Lady amerudi na album yake yenye nyimbo 6 ikiwa na nyimbo kama Wifi zangu, Shingo Feni, Penzi haligawanyiki na nyinginezo, pia ameimba wimbo wa Mary Maria akishirikiana na mwanae Waziri, ambae kajitahidi kuimba zile sehemu za uimbaji wa marehemu babake.

1 comment:

  1. Hongera kwa Kida.Je Kida anaishi wapi kwa sasa na anafanya shughuli gani? alipata watoto wangapi na Maneti? hiyo albamu yake mpya inapatikana madukani? na je iko redioni?

    ReplyDelete