RADIO mpya kwa ajili ya wapenzi wa muziki wa zamani inayopatikana katika internet. Radio hiyo KITIME ZAMA ZILE RADIO, inapatikana kwa kuingia https://onlineradiobox.com/tz/kitimezamazile/?cs=tz.kitimezamazile Radio inaendeshwa na mwanamuziki mkongwe JOHN KITIME. Radio hiyo ambayo inaendeshwa sambamba na mtandao wa KITIME MUSIC ARCHIVE – Tanzania music stories and histories... iko hewani masaa 24. Ingia usikilize kila aina ya muziki, taarabu, muziki wa dansi, kwaya, gospel na kadhalika.
No comments:
Post a Comment