Saturday, November 28, 2015

DAVID MUSA AFARIKI DUNIA


MWANAMUZIKI mwanzilishi wa kundi la Safari Trippers na aliyekuwa mwalimu wa wanamuziki wengi sana David Musa amefariki usiku wa kuamkia leo. Msiba uko nyumbani kwake Chang'ombe. Habari zaidi tutazileta kadri tutakavyozipata. 
safari trippers
Kushoto mwenye miwani David Musa, wa tatu Marijani Rajabu na kulia mwisho Jumanne Uvuruge mtunzi wa wimbo wa Georgina.
 Mungu amlaze pema

4 comments:

  1. Rest in peace my dear brother. Love, Jen

    ReplyDelete
  2. REST in peace DAVID GORDON

    ReplyDelete
  3. Sikuipata habari hii, oh God! May his soul rest in peace.

    ReplyDelete
  4. Sikuwa nafahamu kama nguli huyu ametangulia mbele ya haki. RIP DAVID

    ReplyDelete