JUMAPILI NYINGINE NDIO NIMEMALIZA KUKUKUSANYIA NYIMBO NTAKAZOKUPIGIA
LEO...LA BAMBA UNAJUA ILITOKA WAPI? DOUBLE OO, NA NYIMBO SITA AMBAZO N
SURPRISE, SIKIA SAUTI YA MOSHI WILLIAM TX ALIPOKUWA MDOGO, MSIKILIZE
TENA SKEETER DAVIS EFM 93.7FM KUANZIA SAA 2-5 USIKU LEO KWA WENYE
INTERNET ANUANI NI HII http://tunein.com/radio/E-FM-Radio-937-s224740/
No comments:
Post a Comment