Mpiga bass wa bendi kongwe Msongo Ngoma , Ismail Mapanga amefariki katika hospitali ya Temeke jioni hii. Mapanga aliaanza kuumwa wakati bendi ikiwa safarini katika safari yao mkoani Tabora karibuni. Taratibu za mazishi zitawekwa hapa mara zitakapopatikana.
Mungu amlaze pema peponi Amin
No comments:
Post a Comment