Friday, July 13, 2012

Klab La Aziz Dodoma leo kuwaka moto

Bendi mbili kongwe  Msondo Ngoma Music band na Mlimani park Orchestra. leo watakuwa katika jukwaa moja katika ukumbi wa La Aziz katika jiji la Dodoma. Ni wazi kutakuwa na muziki mzuri maana mara zote makundi haya yamekuweko jukwaani pamoja moto huwaka. Onyesho muhimu kuhudhuria

No comments:

Post a Comment