Thursday, March 9, 2023

FATUMAAAAAA, hebu muone Shaaban Dede live akiimba kibao hiki

 Ilikuwa ni siku ya pambano kati ya Sikinde na Msondo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, nikiwa na camera yangu nikabahatika kurekodi kitu hiki kitamu sana...tufurahi wote. Usisahau kusubscribe na ku like ili niwe na nguvu za kuendeleza Tanzania Music Channel hii.


1 comment: